- 2026-01-18 05:14
- IT & Telecoms
- Dar es Salaam
- 42 views
Job Details
Duties and Responsibilities
Kusimamia mifumo ya mawasiliano ya kidijitali ya Ofisi kama vile tovuti na mitandao ya kijamii;Kufanya ufuatiliaji na uchambuzi wa habari mbalimbali zinazohusu Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi;Kupiga na kuhariri picha mnato na picha mjongeo kwa ajili ya mawasiliano ya ndani na nje ya taasisi;Kuandaa picha na kubuni michoro yenye maudhui ya ukaguzi kwa ajili ya ripoti za ukaguzi, ripoti za wadau na maonesho;Kushiriki kampeni za mawasiliano ya kidijitali za Ofisi;Kutunza kanzidata ya ubunifu na kumbukumbu za mawasiliano; naKufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.
QualificationsKuajiriwa wenye Shahada ya kwanza katika fani ya “Multimedia Technology” (Bachelor of Science in Multimedia Technology) au Shahada ya Sanaa katika Ubunifu wa Michoro (Bachelor of Arts in Graphic Design kutoka katika Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
RemunerationTGS D
Company Description
Summary
-
Start Date: 2026/01/18
-
Company: Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
-
Salary: TSh
-
Job Type: Permanent
-
Location: Dar es Salaam