- 2026-01-17 23:09
- Public Service
- Dar es Salaam
- 18 views
Job Details
Duties and ResponsibilitiesKushiriki katika kuainisha maeneo ya ukaguzi na kutunza kumbukumbu zake;Kushiriki katika kuandaa mipango kazi ya ukaguzi;Kukusanya na kutunza taarifa kwa ajili ya kufanya ukaguzi;Kushiriki katika kufanya na kutayarisha taarifa za upembuzi yakinifu, mipango kazi na randama ya tafiti za awali;Kushiriki katika uchanganuzi wa taarifa na kuandaa rasimu za taarifa za ukaguzi;Kuainisha maeneo yanayoweza kukaguliwa na kutunza taarifa za ukaguzi; naKufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.
QualificationsKuajiriwa wenye Shahada ya Kwanza ya Uhandisi wa Umeme ( Bachelor of Electrical Engineering) kutoka katika Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali waliosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB).
RemunerationSAIS. E
Company Description
Summary
-
Start Date: 2026/01/18
-
Company: Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
-
Salary: TSh
-
Job Type: Permanent
-
Location: Dar es Salaam