Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
Historia ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi Kabla na Baada ya UhuruHistoria ya Ofisi hii inahusiana kwa karibu na historia ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Baada ya Mkutano wa Berlin wa mwaka 1885, sehemu ya ardhi ambayo kwa sasa ni Tanzania Bara iligawiwa kwa Wajerumani. Mwaka 1897, eneo hili liliitwa Himaya ya Ujerumani ya Afrika Mashariki na lilikuwa koloni la Ujerumani mpaka mwaka 1919. Baada ya Vita vya Kwanza vya Dunia, kupitia Mkataba wa Versailles, Waingereza walipewa haki ya kulitawala eneo hili, ambalo wakati huo lilianza kuitwa Tanganyika. Baada ya Vita vya Pili vya Dunia mwaka 1946, Tanganyika iliwekwa chini ya Mamlaka ya Umoja wa Mataifa chini ya uangalizi wa Uingereza.Desemba 1961, Tanganyika ilipata uhuru wake kutoka kwa Waingereza na kuendelea kuwa sehemu ya Jumuiya ya Madola. Mwaka 1962, Tanganyika ikawa Jamhuri. Tanganyika iliungana na Zanzibar tarehe 26 Aprili 1964 na kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
14 Jobs Found

AFISA HABARI DARAJA LA II - FANI YA UBUNIFU WA MICHORO - GRAPHIC DESIG...

Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
Duties and ResponsibilitiesKusimamia mifumo ya mawasiliano ya kidijitali ya Ofisi kama vile tovuti na mitandao ya kijamii;Kufanya ufuatiliaji na uchambuzi wa habari mbalimbali zi...

MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II - RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II

Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
Duties and Responsibilities.Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register)Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspon...

MKAGUZI DARAJA LA II- FANI YA AFYA YA JAMII || PUBLIC HEALTH

Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
Duties and Responsibilities.Kushiriki katika kuainisha maeneo ya ukaguzi wa ufanisi na kutunza kumbukumbu zake;Kushiriki katika kuandaa mipango kazi ya ukaguzi;Kukusanya na kutu...

MKAGUZI DARAJA LA II - FANI YA FAMASIA PHARMACY

Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
Duties and ResponsibilitiesKushiriki katika kuainisha maeneo ya ukaguzi wa ufanisi na kutunza kumbukumbu zake;Kushiriki katika kuandaa mipango kazi ya ukaguzi;Kukusanya na kutun...

MKAGUZI DARAJA LA II - FANI YA UDAKTARI WA MIFUGO || VETERINARY MEDICI...

Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
Duties and ResponsibilitiesKushiriki katika kuainisha maeneo ya ukaguzi wa ufanisi na kutunza kumbukumbu zake;Kushiriki katika kuandaa mipango kazi ya ukaguzi;Kukusanya na kutun...

MKAGUZI DARAJA LA II - FANI YA USANIFU WA MAJENGO (ARCHITECTURE)

Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
Duties and ResponsibilitiesKushiriki katika kuandaa na kutekeleza mpango wa ukaguzi (Audit programme);Kushiriki katika kuandaa taarifa ya ukaguzi kwa ajili ya tuhuma zilizotolewa...

MKAGUZI DARAJA LA 2– FANI YA UHANDISI WA UJENZI (CIVIL ENGINEERING)

Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
Duties and ResponsibilitiesKushiriki katika kuandaa na kutekeleza mpango wa ukaguzi (Audit programme);Kushiriki katika kuandaa taarifa ya ukaguzi kwa ajili ya tuhuma zilizotolewa...

MKAGUZI DARAJA LA 2 - FANI YA UHANDISI WA UMEME (ELECTRICAL ENGINEERIN...

Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
Duties and ResponsibilitiesKushiriki katika kuainisha maeneo ya ukaguzi na kutunza kumbukumbu zake;Kushiriki katika kuandaa mipango kazi ya ukaguzi;Kukusanya na kutunza taarifa...

MKAGUZI DARAJA LA II - FANI YA UHANDISI WA VIFAA TIBA TIBA (BIOMEDICAL...

Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
Duties and ResponsibilitiesKushiriki katika kuainisha maeneo ya ukaguzi wa ufanisi na kutunza kumbukumbu zake;Kushiriki katika kuandaa mipango kazi ya ukaguzi;Kukusanya na kutun...

MKAGUZI DARAJA LA II - FANI YA UHANDISI WA VIFAA TIBA TIBA (BIOMEDICAL...

Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
Duties and ResponsibilitiesKushiriki katika kuainisha maeneo ya ukaguzi wa ufanisi na kutunza kumbukumbu zake;Kushiriki katika kuandaa mipango kazi ya ukaguzi;Kukusanya na kutun...

MKAGUZI DARAJA LA 2 - FANI YA UHANDISI WA UMWAGILIAJI NA RASILIMALI ZA...

Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi (NAOT)
Duties and ResponsibilitiesKushiriki katika kuainisha maeneo ya ukaguzi wa ufanisi na kutunza kumbukumbu zake;Kushiriki katika kuandaa mipango kazi ya ukaguzi;Kukusanya na kutun...

MKAGUZI DARAJA LA II- FANI YA UHANDISI WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA (...